Machapisho

RC Tabora aagiza kukamatwa kwa viongozi wa ushirika..

Picha
Serikali ya Mkoa wa Tabora imeagiza kukamatwa kwa waliokuwa viongozi wa Chama cha Ushirika cha Mibono na wale Tupendane kwa ubadhirifu wa mamilioni ya fedha za wakulima na  vyama hivyo. Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora,  Aggrey Mwanri wakati wa mkutano wa hadhara ambao ni sehemu ya utekelezaji wa magizo ya viongozi wakuu wa kitaifa wa kuagiza kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi. Amesema kuwa viongozi wote wanaotuhumiwa kwa ubadhirifu wa fedha za vyama na wakulima na wale wakulima wa tumbaku waliotorosha tumbaku katika msimu wa 2013/14 watafutwe popote walipo na kukamatwa ili waweze kufikishwa Mahakamani. Mwanri amesema kuwa hata kama kuna kiongozi yoyote aliyehusika na ambaye amehama ni vyema akarudishwa ili hatua za kisheria dhidi ya matumizi mabaya ya fedha za AMCOS. “Nakuagiza DC shirikiane na OCD mkitumia taarifa ya ukaguzi wa vyama vya msingi hivyo fedha za wakulima kisha muwakamate na kuwafikisha katika vyombo vya sheria il...

HEADING ZA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBER 3,2017 KUTOKA KATIKA MAGAZETI MBALIMBALI YA HAPA NCHINI...

Picha

NEW VIDEO:Dogo Janja - NGARENARO

Picha

MSIBA: Mmoja wa Wabunge 8 wateule wa CUF amefariki...

Picha
Moja ya stori ambazo zilikamata headlines siku za hivi karibuni ilikuwa ni kuhusu ya Wabunge nane wa Viti Maalumu wa Chama cha Wananchi, CUF kufutwa uanachama kisha chama hicho kuteua Wabunge wangine kuziba nafasi zao. Sasa taarifa iliyonifikia ni kuwa mmoja kati ya Wabunge nane wateule, Bi. Hindu Hamis Mwenda amefariki jana jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa kisukari. Bi. Hindu alikuwa mmoja wa Wabunge nane wa Viti Maalum waliotakiwa kuapishwa na Bunge September 5, 2017 baada ya kuteuliwa na CUF na kuthibitishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi July 27, 2017 kuchukua nafasi ya Wabunge nane wa Viti Maalum waliofutwa Uanachama wa chama hicho licha ya uteuzi wao kupingwa Mahakamani. Source:Millardayo.com

HEADING ZA MAGAZETI YA LEO AUGUST 27,2017 KUTOKA KATIKA MAGAZETI MBALIMBALI YA HAPA NCHINI..

Picha

HEADING ZA LEO AUGUST 25,2017 KUTOKA KATIKA MAGAZETI MBALIMBALI YA HAPA NCHINI

Picha