Machapisho

HEADING ZA MAGAZETI YA LEO AUGUST 24,2017 KUTOKA KATIKA MAGAZETI MBALIMBALI YA HAPA NCHINI..

Picha

HEADING ZA MAGAZETI YA LEO AUGUST 17,2017 KUTOKA KATIKA MAGAZETI MBALIMBALI YA HAPA NCHINI.

Picha

Real Madrid Mabingwa Super Copa 2017 vs FC Barcelona (PICHA)

Picha
Usiku wa August 16 2017 mchezo wa marudiano wa  Super Copa  kati ya  Real Madrid  dhidi ya  FC Barcelona ulichezwa katika uwanja wa  Santiago Bernabeu , kipindi ambacho  FC Barcelona  waliingia uwanjani wakiwa nyuma kwa magoli 3-1 waliyofungwa Nou Camp katika mchezo wa kwanza. FC Barcelona  ambao waliingia uwanjani kutafuta magoli ya kusawazisha na hatimae kupata Ubingwa huo, wamejikuta wakiambulia kipigo kingine kwa kufungwa magoli 2-0, magoli ya  Real Madrid  yakifungwa na  Marco Asensio  dakika ya 4 na  Karim Benzema  dakika ya 38. Mara ya mwisho  Real Madrid  na  FC Barcelona  kukutana katika mchezo wa  Super Cop  ilikuwa August 30 2012 katika uwanja wa  Santiago Bernabeu  na  Real Madrid  kushinda kwa magoli 2-1 licha ya game ya kwanza iliyochezwa  Nou Camp  kupoteza kwa magoli 3-2 ila aggregate ikambeba kwa ...

Odinga ashindwa kutangaza msimamo wa NASA...

Picha
Kiongozi wa Muungano wa vyama vya upinzani nchini Kenya, National Super Alliance (NASA), Raila Odinga ameahirisha mkutano wake aliokuwa amepanga kufanyika mapema hii leo kwaajili ya kutoa mwelekeo wa muungano huo kufuatia kushindwa kwenye uchaguzi mkuu uliopita. Odinga aliahidi kutangaza hatua ambazo angechukua mapema hii leo mara baada ya kushindwa na mpinzani wake Uhuru Kenyatta katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo uliofanyika hivi karibuni. “Tunasikitika sana kwamba mashauriano yetu yanachukua muda mrefu kuliko ilivyotarajiwa na Nasa kwa hiyo hawataweza kuwahutubia Wakenya kama walivyotarajia leo siku ya jumanne na badala yake hotuba itatolewa kesho,”amesema Wakala wa Nasa, Musalia Mudavadi. Aidha, Rais Kenyatta alitangazwa kuwa mashindi kwa kura 8,203,290 huku mpinzani wake mkuu katika uchaguzi huo, Raila Odinga akipata kura 6,762,224 kitu ambacho kilipingwa vikali na muungano wa NASA kwa madai kuwa matokeo yamechakachuliwa. Hata hivyo, Tume ya uchaguzi inchini...

HEADING ZA MAGAZETI YA LEO AUGUST 15,2017 KUTOKA KATIKA MAGAZETI MBALIMBALI YA HAPA NCHINI..

Picha