SPIKA NDUGAI ATEMBELEA BUNGE LA UMOJA WA FALME ZA KIARABU (PICHA)


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai ametembelea Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu lililopo Abu Dhabi na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge hilo, Dkt. Amal Al Qubaisi ambapo amewasilisha mapendekezo rasmi ya kuanzisha umoja na urafiki wa kibunge baina ya Bunge la Tanzania na Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu. 








Source:Modewjiblog





















































































































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Wachezaji Ligi Kuu wakatiwa Bima ya Afya...

Orodha ya nchi 10 zaidi duniani zenye idadi kubwa ya watu kuliko nchi nyingine (2000-2015) na Nigeria ikiwa ndio nchi ya pekee kutoka bara la Afrika