Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2017

Trump kutangaza msimamo wake kuhusu makubaliano ya Paris..

Picha
Vyombo vya habari vya marekani vinasema rais Trump anatarajia kutangaza kujitoa kwenye makubaliano ya mabadiliko ya tabia nchi yaliyowekwa mjini Paris,Ufaransa. Rais Trump mwenyewe aliandika katika ukurasa wake wa Twitter kuwa anatoa tangazo hilo hivi karibuni. Kujitoa katika harakati hizo za mabadiliko ya tabia nchi ni miongoni mwa vipaumbele ambavyo alivitaja wakati wa kampeni zake za urais ingawa hivi karibuni rais huyo alikaririwa kusema kuwa bado hajafanya maamuzi. Mkutano wa nchi zenye uchumi mkubwa G7 uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita ,uliolenga kupunguza shughuli zinazongeza uzalishaji wa hewa chafu ili kupuguza athari za mabadiliko ya tabia nchi kama ilivyokubaliana na nchi takribani mia mbili jambo ambalo rais Trump alikuwa hajaliridhia. Source:BBC

Man city yazindua Jezi mpya zitakazo tumika msimu ujao (Picha)

Picha
Klabu ya Manchester City ya nchini Uingereza imetangaza rasmi Jezi zake mpya zitakazo tumika katika msimu ujao wa ligi wa mwaka 2017/18, klabu hiyo yenye maskani yake  Etihad, imeweka hadharani uzi wao utakao tumika  katika vikosi vyote, timu ya wakubwa kwa upande wa wanaume na wanawake, timu ya vijana na zile za watoto. Source:Bongo 5

Wizkid kukinukisha BET Awards 2017

Picha
WizKid Black Entertainment Television (BET) wametangaza majina ya wasanii watako tumbuiza usiku wa June 25 Jumapili katika utoaji wa tuzo BET Awards 2017. Tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika katika jiji la (L.A)Los Angeles nchini Marekani katika ukumbi wa Microsoft Theater , Hata hivyo msanii tokea bara la Afrika Wizkid nae ametajwa katika watu watakao weza kushiriki kutoa burudani kwenye Tuzo hizo kubwa huku list hiyo ikiwa na wasanii nguli kama vile Snoop Dogg, Wiz Khalifa, Pusha T, Desiigner, Bryson Tiller, Rae Sremmurd, Jhené Aiko na New Edition. Future,Bruno na Migos Katika awamu ya kwanza BET wamewataja pia wasanii kama Migos, Bruno Mars, Future, Trey Songz na Tamar Braxton ndio  watakaoanza kupanda kwenye stage kutoa burudani  katika usiku huo. Tamasha hilo litakalo fanyika siku nne mfululizo litaoneshwa mubashara kuanzia saa mbili usiku.Msanii Beyoncé na Bruno Mart ndio walioongozwa kutaja katika vipengere tofauti, Huku Beyone akiwania vipengele saba, na

PICHAZ:Rais Uhuru Kenyatta akizindua mradi wa treni ya mizigo ya standard gauge katika station ya Port Reitz mjini Mombasa.

Picha
Source:Instagram(president.of.kenya)

CONFIRMED: Duo leave Chelsea as Asmir Begovic joins Bournemouth and Dominic Solanke signs for Liverpool

Picha
Goalkeeper Asmir Begovic and forward Dominic Solanke have left Chelsea to sign for  Bournemouth  and Liverpool respectively, the  Premier League  clubs have confirmed. Begovic, 29, will officially arrive at the Vitality Stadium on July 1 and has signed a long-term deal for the south coast club. He made 33 appearances for the Blues during a two-year stay at Stamford Bridge, and has been sold for a reported £10 million fee. He said: "Being part of a title-winning team at  Chelsea  was amazing but I felt now was the right time to move on because I want to be playing regular  football . "I am coming into an important part of my career and I want to show people what I am capable of. "When I spoke to Eddie Howe I knew AFC Bournemouth was the right club for me and I want to bring my experience to the squad, both on and off the pitch. "I'm really excited to be part of the journey here and hope I can help take the club to another level." Solanke le

New Video: Victoria Kimani ft Donald – Fade Away

Picha
Victoria Kimani ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Fade Away’ aliomshirikisha Donald kutoka Afrika Kusini, wimbo huo pia unapatikana katika albamu yake ya Safari. Video imeongozwa na SOS.

Arsenal manager agrees two-year contract..

Picha
Arsenal boss Arsene Wenger has agreed a new two-year contract, extending his 21-year reign at the club. Wenger and club owner Stan Kroenke met on Monday to determine the Frenchman's future, with the decision relayed to directors at a Tuesday board meeting. Arsenal are planning to make an official announcement on Wednesday. The Gunners were fifth in the Premier League this season, the first time they have finished outside the top four since the Frenchman joined in 1996. They finished 18 points behind champions Chelsea, but beat the Blues to win the FA Cup at Wembley on Saturday. Wenger's contract was set to finish at the end of the current campaign. He led the Gunners to three Premier League titles and four FA Cups in his first nine seasons in charge. In 2003-04, he became the first manager since 1888-89 to lead a team through an entire top-flight season unbeaten. But after winning the 2005 FA Cup, they had to wait another nine years - or 3,283 days - for t

Mzee aliyechora Nembo ya Taifa amefariki

Picha
Taarifa kutoka Hospitali ya Muhimbili zinasema mzee Francis Kanyasu maarufu kama Ngosha, ambaye amehusika kwenye kuchora Nembo ya Taifa Tanzania, amefariki dunia akiwa kwenye matibabu hospitalini hapo. Kwa mujibu wa taarifa inaelezwa kuwa May 29, 2017 hali ya mzee huyo ilibadilika ghafla na madaktari walijitahidi kadri ya uwezo wao kuweza kunusuru maisha yake lakini ilishindikana na akafariki duniani saa 2 usiku. Mwili wa mzee huyo upo chumba cha kuhifadhia maiti hospitalini hapo ambapo unasubiri mamlaka husika kutoa maelekezo zaidi.

Baadhi ya Picha alizoshare Zari wakati akiwa kanisani leo na familia yake kwenye misa ya kumuaga Marehemu IVAN THE DON, nchini Uganda.

Picha
Source:Inst(Zarithebosslady)

Korea Kaskazini yarusha kombora jingine kuelekea Japan.

Picha
Jaribio hilo limetekelezwa siku moja baada ya taarifa kwamba kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un alisimamia jaribio la teknolojia ya kudungua ndege za kivita Korea Kaksazini imerusha kombora la masafa mafupi, ambalo ni la tatu kurushwa na taifa hilo katika kipindi cha wiki tatu. Kombora hilo aina ya Scud lilipaa umbali wa kilomita 450 (maili 280) kabla ya kuanguka katika maeneo ya bahari ya Japan, hatua iliyoifanya Japan kulalamika vikali. Wachanganuzi wanasema jaribio hilo ni ishara kwamba Korea Kaskazini inapiga hatua katika kuunda makombora yanayoweza kubeba mabomu. Korea Kaskazini imeendelea kukiuka azimio la Umoja wa Mataifa linaloizuia kufanya majaribio yoyote ya makombora au silaha za nyuklia, na imeongeza kasi na idadi ya majaribio hayo katika miezi ya karibuni. Kikosi cha Jeshi la Marekani Bahari ya Pasifiki kimesema kombora hilo lilirushwa kutoka Wonsan, Korea Kaskazini na lilipaa kwa karibu dakika sita kabla ya kuanguka. Waziri kiranja wa Japan Yoshihide Su