Victoria Kimani ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Fade Away’ aliomshirikisha Donald kutoka Afrika Kusini, wimbo huo pia unapatikana katika albamu yake ya Safari. Video imeongozwa na SOS.
1. Ikulu ya Forbidden City Ni ikulu ambayo ipo katikati ya Beijing, Forbidden City ni moja ya ikulu kubwa duniani yenye ukubwa wa hekta 72 . Ime jengwa mwaka 1406-1420 , lina majengo 980 ya kuishi na idadi ya vyumba 8707. 2.Ikulu ya Potala Ni ikulu iliyo jengwa juu ya milima wa Marpo Ri,Uliopo mita 30 juu ya bonde la Lhasa , Ikulu ya Potala kingo zeka ni zaidi ya mita 170 na ni kubwa.I kulu i likuwa tayari ime jengwa hapa katika karne ya 7, ujenzi wa jumla ulianza mwaka 1645 wakati wa utawala wa tano Dalai Lama na kwa 1648 Potra 3.Ikulu ya Alhambra Sehemu ya ngome , sehemu ya ikulu na sehemu ya bustani Alhambra ni mji ambao uko juu ya Plateau...
Kwa mujibu wa tofuti ya 'World Stadiums' Tanzania ni miongoni mwa nchi za Africa zenye viwanja vichache vya michezo ikiwa na jumla ya viwanja 18 tu, tena ni viwanja vya mchezo wa mpira wa miguu ambavyo miongoni mwa viwanja hivyo utumiwa sana katika ligi ya Tanzania maarufu ligi ya Vodacom. Mara nyingi kiwanja kuitwa kiwanja mpaka kiweze kuwa na vigezo vinavyo staili mpaka kitimie kuwa kiwanja na kutumika katika michezo mbalimbali,kwa Tanzania vigezo hivyo ndio vimeweza kutimia katika viwanja 18 tu kwa nchi nzima na vichache kwa ngazi ya kimataifa.Viwanja hivyo ni kujuhisha Tanzania visiwani 'Zanzibar'. Kiwanja cha Taifa (National Main Stadium) ambacho kipo katika Jiji la Dar es salaam ndicho kiwanja kikubwa zaidi kuliko viwanja vyote kwa nchi ya Tanzania, ni kiwanja ambacho kinauwezo wa kuchukua watu 60,000; CCM Kilumba ndicho kiwanja kinachofuatia kwa ukubwa ambacho kipo katika Jiji la Mwanza (Rock City) kinauwezo wa kuchukua watu35,000;kikifuatiwa na kiwanja cha...
Maoni
Chapisha Maoni