NEC YAKAMILISHA MAANDALIZI YA UBORESHWAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KULA KWA MIKOA MINNE

Maandalizi ya kanda ya tano kati ya sita yamekamilika leo 29/5/2015 zaidi ya BVR 1492 zinaanza kusambazwa na Tume ya uchaguzi kuanzia mapema Alfajiri kesho.Kanda ya tano ni Mikoa ya Mara,Arusha,Manyara na Kilimanjaro.
Source(Michuzi blog)
Maoni
Chapisha Maoni