Taswira ya Uwanja wa FIFA Mjini Iringa.

Taswira ya Iringa Football for Hope center ni kituo cha kijamii cha kuleta mabadiliko na maendeleo kwa vijana na jamii kwa ujumla. Ni kituo kilichojengwa kwa udhamini wa FIFA na kinakusudia kutoa ujuzi wa mpira wa miguu na kutoa elimu ya afya kupitia mpira.Ni kituo kilichopo maeneo ya 'Mtwivila' katika Manispaa ya Iringa.(Picha na Geofrey Eston)

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Wachezaji Ligi Kuu wakatiwa Bima ya Afya...

Orodha ya nchi 10 zaidi duniani zenye idadi kubwa ya watu kuliko nchi nyingine (2000-2015) na Nigeria ikiwa ndio nchi ya pekee kutoka bara la Afrika