Baadhi Ya Tweet Za Leo Nilizokutana Nazo Twitter Nimeziweka Pitia Kuzisoma...


Mawaziri wafutwe kazi ili Rais mwenyewe asimamie mahudhurio & kazi za wizara zote. Kama ilivyo mipango mingi ya dharura hata kazi dharura tu

Tunajiandaa kumpokea @nahreel Jumatatu ijayo ndani ya #MkasiTV! Nini ungependa kusikia toka kwa mkali huyu? #Nahreel

MUHIMU: Uchaguzi wa Kata ya SARANGA uliohairishwa sasa utafanyika j2 ijayo 15/11/2015. Tafadhali mfahamishe mwengine

Gor Mahia fans disrupt Bokello’s funeral, burry him ahead of time #CitizenWeekend

Music: Gentriez Ft. Ben Pol x GodZilla - Nimpata - http://www.bongo5.com/music-gentriez-ft-ben-pol-x-godzilla-nimpata-11-2015/ …
Maoni
Chapisha Maoni