Diamond Platnumz Alivyoungana Tena Na Familia Yake Afrika Kusini (+PICHAZ)
Hit Maker wa Nyimbo ya NANA Diamond Platnumz amekwenda nchini humo kwaajiri ya maandalizi ya show ya BET Experience Africa, Ametumia fursa hiyo kuonana tena na mchumba wake Zari The Bosslady na mwanae Tiffah.
SOURCE:BONGO 5
Maoni
Chapisha Maoni