Albino wazidi kuwindwaTanzania...

Mwigulu Matonange Magesa, mtoto aliye na ulemavu wa ngozi wa Albino. (AP Photo/Matt Rourke)
Mwigulu Matonange Magesa, mtoto aliye na ulemavu wa ngozi wa Albino.


Vitisho vya mauaji vimeanza kuwakabili tena watu wenye ulemavu wa ngozi yaani  albino nchini Tanzania, ambapo katika tukio la hivi karibuni mlemavu mmoja alishambuliwa na watu wasiojulikana na kunusurika kuuawa mkoani Tanga.







SOURCE:VOA










































































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Wachezaji Ligi Kuu wakatiwa Bima ya Afya...

Orodha ya nchi 10 zaidi duniani zenye idadi kubwa ya watu kuliko nchi nyingine (2000-2015) na Nigeria ikiwa ndio nchi ya pekee kutoka bara la Afrika