Machapisho maarufu kutoka blogu hii
Wachezaji Ligi Kuu wakatiwa Bima ya Afya...
NHIF YAINGIA MAKUBALIANO YA UDHAMINI WA BIMA VPL Mfuko wa Bima ya Afya nchini (NHIF) umeingia makubaliano ya udhamini wa bima ya afya kwa wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi kwa vilabu 16 vya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania kwa kipindi cha mwaka mmoja. Akiongea na waandishi wa habari katika mkutano uliofnayika leo ofisi za TFF zilizopo Karume, Katibu Mkuu wa TFF Mwesigwa Selestine amesema wanaishukuru NHIF kwa kuwapa udhamini huo ambao utavisaidia vilabu vya Ligi Kuu katika matibabu ya wachezaji na bechi ka ufundi. Tumekua na kilio cha muda mrefu juu ya vilabu vya Ligi Kuu kuwa na Bima za afya kwa wachezaji, kitu ambacho kipo kikanuni lakini vilabu vilikuwa vinashindwa kutimiza hitaji hilo la kikanuni na sasa TFF kwa kushirikian na NHIF tutakua tumeiondoa tatizo hilo. Naye Mkuu wa Mawasiliano wa NHIF, Sungi amesema udhamini huo wa bima ya matibabu kwa wachezaji na benchi la ufundi utatolewa kwa matibabu yote yatakayofnayika ndani ya nchi. Mchezaji au kiongozi pin...
Orodha ya nchi 10 zaidi duniani zenye idadi kubwa ya watu kuliko nchi nyingine (2000-2015) na Nigeria ikiwa ndio nchi ya pekee kutoka bara la Afrika
NCHI 10 ZENYE IDADI KUWA YA WATU DUNIANI. # Country 2000 Population 2010 Population 2015 Population 2050 Expected Pop. 1 China 1,268,853,362 1,330,141,295 1,361,512,535 1,303,723,332 2 India 1,004,124,224 1,173,108,018 1,251,695,584 1,656,553,632 3 United States 282,338,631 310,232,863 321,362,789 439,010,253 4 Indonesia 213,829,469 242,968,342 255,993,674 313,020,847 5 Brazil 176,319,621 201,103,330 204,259,812 260,692,493 6 Pakistan 146,404,914 184,404,791 199,085,847 276,428,758 7 Nigeria 123,178,818 152,217,341 181,562,056 264,262,405 8 Bangladesh 130,406,594 156,118,464 168,957,745 233,587,279 9 Russia 146,709,971 139,390,205 142,423,773 109,187,353 10 Japan 126,729,223 126,804,433 126,919,659 93,673,826 TOP TEN Countries 3,618,894,827 4,016,489,082 4,213,773,474 4,950,140,178 Rest of the World 2,466,012,769 2,829,120,878 3,050,850,319 4,306,202,522 TOTAL World Population 6,...










Maoni
Chapisha Maoni