VICHWA VYA MAGAZETI YA LEO JULY 13,2016 VILIVYOTOKEA KWA KILA GAZETI..
Pata kiungo
Facebook
X
Pinterest
Barua pepe
Programu Nyingine
Tembelea na soma vichwa mbalimbali vya magazeti ya leo ya hapa nchini Tanzania kwa kila gazeti na story zake zilivyoandikwa kutoka maeneo tofauti na angle tofauti za story.
1. Ng’olo Kante kutoka Leicester City kuelekea Chelsea kwa hakika hakuna asiyejua thamani na mchango wa Mfaransa huyu, amecheza vizuri Leicester City kazi nzuri akiwa timu ya taifa sasa hivi yupo Chelsea kwa dau la £32 milioni. 2. Viktor Fischer – AFC Ajax kuelekea MIddlesbrough kwa dau la £3.8 milioni, Middlesbrough haizungumziwi msimu huu lakini imefanya usajili wa maana sana wamepata saini 3 za nyota kama Victor Valdes, Negredo na Fischer ambaye alitumiwa maombi na timu kama Manchester United, Chlese na Manchester City. 3. Henrikh Mkhitaryan kutoka Borrusia Dortmund kuelekea Manchester United, kila mmoja anajua shughuli ya kiungo huyu wa Almenia, hakosei kupiga pasi za mwisho na kufunga magoli ambayo yana msaada kwa timu dau lake ni £26.3 milioni kazi itakuwepo msimu huu. 4. Loris Karius – FSV Mainz 05 kuelekea Liverpool FC kwa £4.7 milioni ni golikipa amekuja kwa ajili ya kumpa changamoto Mignoleti pale Anfield, usajili ambao una maana kubwa ...
Maoni
Chapisha Maoni