Viongozi na wawakilishi wote wa nchi za EAC wameshawasili Arusha..


Viongozi na wawakilishi wote  wa  nchi za za jumuiya  ya Afrika  Mashariki wameshafika jijini Arusha tayari kwa  mkutano wao wa 17  wa wakuu wa nchi  zinazounda jumuiya  ya  Afrika Mashariki.


Marais wanaohudhuria kikao hicho ni pamoja na John Magufuli wa Tanzania,Uhuru Kenyeta wa Kenya,Paul Kagame wa Rwanda,Yoweri  Museveni wa Uganda na makamu wa rais wa Burundi anayemwakilisha  rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza.
 
Katika mkutano huo pia wamealikwa viongozi na nchi mbalimbali ikiwemo ya Sudani  Kusini ambayo imewakilishwa na Makamu wa rais Tayari  viongozi hao wameshaanza kikao chao  ndani.





Source:ITV




































































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Imetangazwa noti yenye muonekano mzuri kuliko zote duniani kwa mwaka 2016..

Picha 10 za Ikulu zilizo nzuri zaidi Duniani...