Depay kaachia video ya wimbo wake…itazame ‘LA Vibes Freestyle 1.0.’




Story kwamba nyota wa timu ya Taifa la Uholanzi ambaye zamani alikuwa anaichezea Manchester United Memphis Depay ni mmoja kati ya wachezaji wa soka ambapo pia wana uwezo mkubwa wa kuimba hazikuanza leo.
Ili kuthibitisha hilo mchezaji huyo wa Lyon ya Ufaransa ameachia video ya wimbo LA Vibes Freestyle 1.0. alioimba akiwa na mchezaji mwenzie wa Uholanzi Quincy Promes.
Depay ambaye kwa sasa yupo California kwa ajili ya mapumziko ameachia wimbo huo na saa moja tu tangu kuwekwa YouTube ulitazamwa zaidi ya mara 30,000.












Source:Millardayo.com


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Orodha ya nchi 10 zaidi duniani zenye idadi kubwa ya watu kuliko nchi nyingine (2000-2015) na Nigeria ikiwa ndio nchi ya pekee kutoka bara la Afrika

Wachezaji Ligi Kuu wakatiwa Bima ya Afya...