PICHA:TASWIRA NA JAMII

Katika Taswira na Jamii siku ya leo tumeangazia juu ya watoto wadogo kujiingiza katika biashara.

Kutokana na hali ya kimaisha kuwa ngumu miongoni mwa familia duni ziishio vijijini ndio sababu kubwa inayopelekea watoto wadogo kuacha shule na kufanya biashara, ili waweze kupata pesa za kujikimu kimaisha na familia zao.



Picha kwa hisani ya Michuzi Blog

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Wachezaji Ligi Kuu wakatiwa Bima ya Afya...

Orodha ya nchi 10 zaidi duniani zenye idadi kubwa ya watu kuliko nchi nyingine (2000-2015) na Nigeria ikiwa ndio nchi ya pekee kutoka bara la Afrika