If ya Davido yakaa kileleni Afrika Kusini.. Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Juni 29, 2017 Wimbo huo umeshika nafasi ya kwanza katika orodha ya nyimbo zilizochezwa zaidi katika vituo vya radio vya nchini humo – hiyo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na RAMS. Source:BONGO 5 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Maoni
Maoni
Chapisha Maoni