Kutana na uvumbuzi mpya kongo

Kwa kurahisisha usafiri katika mji mkuu wa Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo,Kinshasa,mwanasayansi Therese Kirongozi amevumbua roboti za kuongozea magari barabarani kupitia kampuni yake ya Women Technology.

 Mhandisi Therese Kirongozi akisubiri wataalii wanaotembelea mahala anapotengeneza maroboti ya kurahisisha usafiri. Mwanamke wa kwanza kutengeneza roboti nchini DRC. (DW/Saleh Mwanamilongo)
Mhandisi Therese Kirongozi akisubiri wataalii wanaotembelea mahala anapotengeneza maroboti ya kurahisisha usafiri.Mwanamke wa kwanza kutengeneza roboti nchini DRC. (Chapisho kutoka DW/Saleh Mwanamilongo).





Maoni

  1. Inatubidi tutambue michango ya wanawake katika maendeleo ya jamii na kitaifa kwa ujumla kuwapatia vipaombele na kuwapa nafasi mbalimbali ili kuweza kufanya mapinduzi ya kimaendeleo katika nchi yeyote ile kama huko kongo kwa Mhandisi Therese Kirongozi

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

USAJILI WENYE MANUFAA EPL HADI SASA..