DC Kinondoni ameagiza Mbunge Halima Mdee akamatwe


Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi ameliagiza Jeshi la Polisi kumkamata na kumuweka ndani kwa saa 48 Mbunge wa Kawe Halima Mdee kwa madai ya kutoa kauli za uchochezi.
Halima Mdee anadaiwa kutoa kauli zinazaodaiwa za kichochezi wakati akizungumza na Waandishi wa habari Makao Makuu ya CHADEMA DSM.


Source:Milardayo.com



























































































































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Orodha ya nchi 10 zaidi duniani zenye idadi kubwa ya watu kuliko nchi nyingine (2000-2015) na Nigeria ikiwa ndio nchi ya pekee kutoka bara la Afrika

Wachezaji Ligi Kuu wakatiwa Bima ya Afya...