Newcastle United imemsajili Mikel Merino kwa mkopo akitokea Borussia Dortmund


Klabu ya Newcastle United imemsajili kiungo wa kihispania Mikel Merino kwa mkopo wa muda mrefu wa msimu kutokea Borusia Dortmund.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 alicheza kwenye mashindano ya European (U-21) mwezi Juni ambapo Uhispania ilipoteza dhidi ya Ujerumani kwenye fainali.

Licha ya kukosa mechi kadhaa kucheza akiwa Dortmund kocha Benitez amesema Merino ataonyesha uwezo wake akiwa na kikosi cha Newcastle.












































































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Orodha ya nchi 10 zaidi duniani zenye idadi kubwa ya watu kuliko nchi nyingine (2000-2015) na Nigeria ikiwa ndio nchi ya pekee kutoka bara la Afrika

Wachezaji Ligi Kuu wakatiwa Bima ya Afya...