TANZIA: ALIYEKUWA KATIBU WA CCM WILAYA YA NZEGA AFARIKI DUNIA..

Chama cha Mapinduzi (CCM)  Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora imepata pigo kubwa baada ya kuondokewa na aliyekuwa Katibu wake, Bi. Sumai Kisabo (Pichani juu).
Taarifa ambazo mtandao wa MO BLOG imezipata asubuhi hii ya leo Julai 28,2017, zimeeleza kuwa tukio hilo ni pigo kubwa ndani ya Chama hicho kwani wameondokewa na mtu muhimu chamani.


Source:Modewjblog




















































































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Orodha ya nchi 10 zaidi duniani zenye idadi kubwa ya watu kuliko nchi nyingine (2000-2015) na Nigeria ikiwa ndio nchi ya pekee kutoka bara la Afrika

Wachezaji Ligi Kuu wakatiwa Bima ya Afya...