HIZI NI PICHA 10 ZA KWANZA PETR CECH AKIWA KWENYE MAZOEZI NA ARSENAL
Baada ya miaka 11 hatimaye Petr Cech ameanza kufanya mazoezi na club nyingine ambayo ni Arsenal. Petr Cech amejiunga na Arsenal kwa gharama ya £10m kutoka kwa timu yenye ushindani nayo ambayo ni Chelsea. Akiwa na miaka 33 ameungana na wachezaji wenzake wa Arsenal kwa ajili ya mazoezi kwa ajili ya pre season. Hizi ni picha 10 akiwa kwenye mazoezi kwa mara ya kwanza.
Source:(Shaffih Dauda).
Maoni
Chapisha Maoni