Ni John Magufuli
Kura zilizopigwa zilikuwa ni kura 2422, na kura zilizoharibika ni kura 6. Kulingana na kura zilizoharibika basi kura halali ni jumla ya kura 2416.
Dr. Asha Rose Migiro amepata jumla ya kura 59 sawa na na asilimia 2.4%
Balozi Amina Ali amepata jumla ya kura 253 sawa na asilimia 10.5%
Mhe. John Magufuli amepata jumla ya kura 2104 sawa na asilimia 87.1%
Maoni
Chapisha Maoni