Mchezaji mwingine aliyesajiliwa na Manchester United..

mateo

Klabu ya Manchester United imekamilisha usajili wa beki wa kulia wa TorinoMatteo Darmian baada ya kufuzu vipimo vya afya.
Mchezaji huyo  ambaye ameichezea klabu yake mechi 146 na kuifungia mabao matano wakati akiwa na timu hiyo na sasa amekubali Mkataba wa miaka minne Old Trafford.   
Kocha wa Man Luis Van Gaal amefurahishwa na ujio wa mchezaji huyo huku mwenyewe akisema ilikuwa ni ndoto yake kuichezea United.
SOURCE:MILLARDAYO.COM














Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

USAJILI WENYE MANUFAA EPL HADI SASA..