KUFUNGIA AKAUNTI YA TWITTER NA FACEBOOK ZA TUNDU LISSU NI SAWA?, KATIBA YA TANZANIA IMETOA JIBU HILI HAPA

Tundu Lissu
Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida amesema wanawasiliana na TCRA ili kuzifungia akaunti za mitandaoni za Mbunge Tundu Lissu, akidai zinatumika kueneza maneno ya kichochezi.

Amesema anaitumia mitandao hiyo kueneza chuki dhidi ya Jeshi la Polisi,Serikali na Rais.

Inawezekana kweli ikawa hivyo lakini kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kuhusu uhuru wa mawazo imeeleza kama ifuatavyo:-





Source:Lindiyetu.com


























































































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

USAJILI WENYE MANUFAA EPL HADI SASA..