UVCCM Kigoma wauzungumzia Ukuta..


Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Kigoma, umesema  maandamano ya Ukuta yaliyoandaliwa na Chadema ni haramu.

Mwenyekiti wa UVCCM  wa mkoa huo, Peter Msanjila amesema umoja huo unalaani na kupinga vikali maandamano yaliyopangwa kufanyika Septemba Mosi.
“UVCCM Kigoma umeazimia mambo yafuatayo; jambo la kwanza ni kupinga vikali kwa nguvu zote maandamano ambayo yameandaliwa na vyama vya upinzani maarufu Ukuta, tunapinga maandamano hayo haramu kwa sababu yana sura ya uvunjifu wa amani, tutatoa taarifa kwa viongozi wa mkoa,” amesema Msanjila.


Source:Mwananchi





















































































































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

USAJILI WENYE MANUFAA EPL HADI SASA..