FAHAMU GHARAMA KWA MTUMISHI WA SERIKALI ATAKAYEHAMIA DODOMA..

Baba wa taifa alisema na makao makuu yawe Dodoma, haiwezekani sisi watoto wake na wajukuu wake tupinge kauli ya mzee huyu. Nilikwishazungumza na narudia katika siku hii kuwa katika kipindi kilichobaki nitahakikisha mimi na serikali yangu tunahamia Dodoma. hiyo ni kauli ya Rais Magufuli aliyoitoa wakati wa kuadhimisha siku ya mashujaa iliyo fanyika kitaifa Mkoani Dodoma Julai 25.

Kufuatia kauli hiyo ya Rais Magufuli naye Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akatamka hadharani kuwa ofisi yake itahamia mkoani humo mwezi Septemba hivyo mawaziri wake wamfuate ili kuunga mkono agizo la Rais Magufuli linaloenzi mawazo ya Rais wa awamu ya kwanza Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Suala hilo la Serikali kuhamia Dodoma limekuwa gumzo la nchi na kupokelewa kwa hisia tofauti huku wengine wakiunga mkono taarifa agizo na wengine wakipinga kwa madai ya kuwa serikali imekurupuka na haijajiandaa kuhamia Dodoma kwani suala hilo linahitaji bajeti maalum ya shilingi Trilioni 1.3, na kutakuwa na mahitaji ya barabara,nyumba za watumishi,umeme, maji hospitali, shule, hoteli na mambo mengine muhimu.

Hivyo utaratibu wa serikali kuhamia Mkoani Dodoma utazingatia madaraja ya viwango vya mshahara kwa mtumishi mmoja mmoja kama inavyoelekezwa hapo chini.



'


Source:Mtembezi.com




































































































































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

USAJILI WENYE MANUFAA EPL HADI SASA..