Mastaa wa soka kwenye muonekano wa kustaajabisha >>Balotelli, David Luiz na Ibrahimovic wamo pia...
Wachezaji mpira ni miongoni mwa watu maarufu sana kutokana na kazi yao kupendwa au kuwa na mashabiki wengi kutoka sehemu mbalimbali, miongoni mwa vitu ambavyo huwezi kuvidhania kama unaweza kuviona kwa mastaa wako wa soka ambao umezoea kuwaona wakiwa katika muonekano uliozoeleka kuonekana labda wakiwa katika mechi au matukio ya kawaida.
List ya mastaa wa soka wakiwa katika muonekano wa kustaajabisha.
Dani Alves

Dani Alves akiwa na wigi alilovaa baada ya timu yake ya taifa kutwaa taji.
Andrey Arshavin
Eidha awe anaendesha gari yake au anashangilia baada ya kufunga goli Balotelli huwa hayuko mbali sana na headlines za vyombo vya habari.
Antonio Cassano
Kiungo wa zamani wa klabu ya Manchester City Stephen akishangilia goli kwa staili ya kuvua bukta
David Luiz
SOURCE:Millardayo.com
List ya mastaa wa soka wakiwa katika muonekano wa kustaajabisha.
Dani Alves
Dani Alves akiwa na wigi alilovaa baada ya timu yake ya taifa kutwaa taji.
Andrey Arshavin
Ni mchezaji wa zamani wa Arsenal anatajwa kuwa sio miongoni mwa watu wanaouchukulia mchezo wa mpira wa miguu serious.
Mario Balotelli
Eidha awe anaendesha gari yake au anashangilia baada ya kufunga goli Balotelli huwa hayuko mbali sana na headlines za vyombo vya habari.
Antonio Cassano
Antonio Cassano akishangilia ushindi wa goli 2-0 Italy ikiifunga Ufaransa katika michuano ya euro 2008.
Zlatan Ibrahimovic
Zlatan Ibrahimovic wakati alipovua nguo uwanjani huku akionekana sio mtu mwenye hofu.
Stephen Ireland
David Luiz
David Luiz beki ghali wa klabu ya PSG ya Ufaransa akishangilia goli
SOURCE:Millardayo.com
Maoni
Chapisha Maoni