Picha 5 ya Gari aina ya Land Rover Defender lenye matairi sita...
Hii ni Land Rover Defender “Flying Huntsman” 6×6, bei yake ni Dola 310,000/= (Kama Tshs. Mil. 650), na zimetengenezwa chache kabisa na kuingizwa sokoni mwaka 2015.
Hapa ni ndani ya Gari hilo..
Land Rover ni moja ya magari ambayo yako kwenye headlines kwa muda mrefu zaidi Duniani, gari ngumu na zinazodumu sana.. ukiiangalia hata hii utajua kabisa kwamba YES jamaa wameiunda kama gari ya kazi hivi ila bado unaweza kujiachia nayo hata kwenye kula bata !!
SOURCE:Millardayo.com
Maoni
Chapisha Maoni