KIKOSI CHA MANCHESTER CITY HAKITAKUA KAMILI KWENYE UEFA...
Manchester city wanajipanga kuingia kwenye crash na Juventus kwenye mechi za kwanza za makundi ya UEFA msimu huu. Manchester City itam-miss mchezaji wao muhimu Sergio Ramos kwenye mechi hiyo.
Ramos ambae aliumia mguu kwenye mechi iliyppita kwenye EPL hatacheza mechi hii. Kocha Man city amesema ,”Sergio hayupo tayari kwa ajili ya mechi ijayo kwasababu ya jeraha la kifundo cha mguu. Ni ngumu kwake kucheza mechi ya kesho”
Lakini boss huyo amesema kwamba mchezaji huyo atarudi kuwa fit kama kawaida na kucheza tena kwenye mechi ya EPL jumamosi ijayo dhidi ya West Ham. Sergio Kun Aguero kwenye twitter yake alisema kwamba ni aibu kwake kutokucheza kwenye mechi ya kesho lakini ni kutokana na tatizo alilopata siku ya Jumamosi.
SOURCE:Shaffihdauda.com
Maoni
Chapisha Maoni