Chuo kikuu cha Garissa nchini Kenya chafunguliwa..(+PICHAZ)
Pata kiungo
Facebook
X
Pinterest
Barua pepe
Programu Nyingine
Chuo kikuu cha Garissa kilichofungwa mwaka uliopita baada ya watu 148 kuuawa kwenye shambulio lililotekelezwa na wanamgambo wa al-Shabab kimefunguliwa tena.
Mkutano wa Mwaka wa ‘International Bank Note Society’s ‘IBNS’ umetambua ubunifu wa kutengeneza noti za fedha zenye muonekano mzuri na usalama zaidi. Katika mkutano wao wa mwaka IBNS wameitangaza noti ya Dollar 5 ya New Zealand kuwa noti nzuri ya Mwaka kwenye mashindano ya kimataifa ambapo noti ishirini kutoka duniani kote zilikuwa zimeteuliwa kuwania tuzo hiyo na mshindi alichaguliwa na wanachama wa IBNS . Hizi ni baadhi ya noti ambazo zilishindanishwa pamoja na noti ya New zealand Sweden’s 20 kronor Noti ya Scotland £ 5 Source:Millardayo.com
Maoni
Chapisha Maoni