PICHA YA SIKU NA TASWIRA BLOG..

Iringa Football For Hope  Centre Ni Kituo Cha Jamii Cha Kuleta Mabadiliko Na Maendeleo Kwa Vijana Na Jamii Kwa Ujumla.Ni Kituo Kilichojengwa Kwa Udhamini Wa FIFA Na Kinakusudia Kutoa Ujuzi Wa Mpira Wa Miguu Na Kutoa Elimu Ya Afya Kupitia Mpira.Ni Kituo Kilichopo Maeneo Ya Mtwivila Katika Manispaa Ya Iringa.(Picha na Geofrey Eston)












































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Wachezaji Ligi Kuu wakatiwa Bima ya Afya...

Orodha ya nchi 10 zaidi duniani zenye idadi kubwa ya watu kuliko nchi nyingine (2000-2015) na Nigeria ikiwa ndio nchi ya pekee kutoka bara la Afrika