Kijana Mmoja Hakufahamika Jina Lake Mapema, Alinaswa Na Kamera Za Taswira BlogMaeneo Ya Keko Jijini Dar es Salaam, Akiiba Unga Kutoka Katika Gari La Kampuni Ya Azam.
1. Ng’olo Kante kutoka Leicester City kuelekea Chelsea kwa hakika hakuna asiyejua thamani na mchango wa Mfaransa huyu, amecheza vizuri Leicester City kazi nzuri akiwa timu ya taifa sasa hivi yupo Chelsea kwa dau la £32 milioni. 2. Viktor Fischer – AFC Ajax kuelekea MIddlesbrough kwa dau la £3.8 milioni, Middlesbrough haizungumziwi msimu huu lakini imefanya usajili wa maana sana wamepata saini 3 za nyota kama Victor Valdes, Negredo na Fischer ambaye alitumiwa maombi na timu kama Manchester United, Chlese na Manchester City. 3. Henrikh Mkhitaryan kutoka Borrusia Dortmund kuelekea Manchester United, kila mmoja anajua shughuli ya kiungo huyu wa Almenia, hakosei kupiga pasi za mwisho na kufunga magoli ambayo yana msaada kwa timu dau lake ni £26.3 milioni kazi itakuwepo msimu huu. 4. Loris Karius – FSV Mainz 05 kuelekea Liverpool FC kwa £4.7 milioni ni golikipa amekuja kwa ajili ya kumpa changamoto Mignoleti pale Anfield, usajili ambao una maana kubwa ...
Maoni
Chapisha Maoni