Marekani Yakumbwa Na Theruji Kumbwa..




Maeneo makubwa ya mashariki mwa marekani yamefukiwa na theluji kufuatia kuanguka kwa kiwango kikubwa zaidi cha theluji kuwai kushuhudiwa.Zaidi ya watu milioni 80 katika majimbo 18 wameathirika. Usafiri wa reli na ndege umetatizwa na zaidi ya watu 200,000 kubaki bila umeme.

Maeneo mengine yalishuhudia theluji yenye urefu hadi mita moja. Utawala katika mji wa New York umesema marufuku kusafiri, theruji hiyo inahitaji kuondolewa licha ya mji huo kushuhudia theluji kubwa leo jumapili.





SOURCE:Muungwana.com












































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Wachezaji Ligi Kuu wakatiwa Bima ya Afya...

Orodha ya nchi 10 zaidi duniani zenye idadi kubwa ya watu kuliko nchi nyingine (2000-2015) na Nigeria ikiwa ndio nchi ya pekee kutoka bara la Afrika