Huyu Ndiye Aliye Mtungia Yemi Alade Wimbo Wa Kiswahili.(+Picha)

Yemi alade
KAMA ulikuwa hujui hii inakuhusu! Staa wa muziki anayekimbiza Nigeria, Yemi Alade amemuanika aliyefanikisha Wimbo wake wa No Gode kuimbwa kwa Kiswahili.
Yemi alade na Bien Baraza

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Yemi alimuweka wazi mtu huyo kuwa ni kiongozi wa kundi la Sauti Sol linalobamba Afrika Mashariki aitwaye Bien Baraza. 
“Asante kwa kupoteza muda wako na kutafsiri wimbo wangu wa No Gode kutoka Kiingereza na kuuweka kwa Kiswahili. Nakupenda sana!”





SOURCE:Lindi Yetu











































































































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Wachezaji Ligi Kuu wakatiwa Bima ya Afya...

Orodha ya nchi 10 zaidi duniani zenye idadi kubwa ya watu kuliko nchi nyingine (2000-2015) na Nigeria ikiwa ndio nchi ya pekee kutoka bara la Afrika