Kutana Na Rekodi Ya Dunia Kwa Mtu Huyu Mwenye Jumla Ya Vidole 28 Mikono Na Miguu Kwa Ujumla. (+PICHAZ)

Anaitwa Devendra Suthar, 43 Kutoka Katika Kijiji Cha Himmatnagar, Gujarat Nchini India Ya Magharibi, ana Vidole Vingi Zaidi Kuliko Watu Wote Duniani.
TAZAMA PICHA NYINGINE HAPO CHINI.
SOURCE:NAIJ.COM



Maoni
Chapisha Maoni