Picha Za Siku Na Taswira Blog..

Ni Ajari Ya Moto Uliotokea Mida Ya Asubuhi Katika Duka Moja Ndani Ya Jengo La DDC Mtaa Wa Kongo Jijini Dar es salaam Na Kuzua Mshangao Kwa Wengi Na Ikisemekana Ni Mara Ya Pili Kuungua Kwa Duka Hilo. Kwa Baadhi Ya Mashuhuda Wanadai Kuwa Ni Duka Linalouza Madela. Na Mpaka Unapotokea Moto Dirisha Dogo La Juu Muhusika ama Mmiliki Wa Duka Hilo Alikuwa Bado Hajawasili Katika Eneo Hilo La Tukio.(Picha na Geofrey Eston).










































































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Wachezaji Ligi Kuu wakatiwa Bima ya Afya...

Orodha ya nchi 10 zaidi duniani zenye idadi kubwa ya watu kuliko nchi nyingine (2000-2015) na Nigeria ikiwa ndio nchi ya pekee kutoka bara la Afrika