Maalim Seif Sharif Hamad (Umri wa Miaka 20) Kipindi Akiwa Mwanafunzi Katika Shule Ya King George iv, Mwaka 1963, Kwasasa Inaitwa Shule Ya Sekondari Lumumba.
1. Ikulu ya Forbidden City Ni ikulu ambayo ipo katikati ya Beijing, Forbidden City ni moja ya ikulu kubwa duniani yenye ukubwa wa hekta 72 . Ime jengwa mwaka 1406-1420 , lina majengo 980 ya kuishi na idadi ya vyumba 8707. 2.Ikulu ya Potala Ni ikulu iliyo jengwa juu ya milima wa Marpo Ri,Uliopo mita 30 juu ya bonde la Lhasa , Ikulu ya Potala kingo zeka ni zaidi ya mita 170 na ni kubwa.I kulu i likuwa tayari ime jengwa hapa katika karne ya 7, ujenzi wa jumla ulianza mwaka 1645 wakati wa utawala wa tano Dalai Lama na kwa 1648 Potra 3.Ikulu ya Alhambra Sehemu ya ngome , sehemu ya ikulu na sehemu ya bustani Alhambra ni mji ambao uko juu ya Plateau...
Mkutano wa Mwaka wa ‘International Bank Note Society’s ‘IBNS’ umetambua ubunifu wa kutengeneza noti za fedha zenye muonekano mzuri na usalama zaidi. Katika mkutano wao wa mwaka IBNS wameitangaza noti ya Dollar 5 ya New Zealand kuwa noti nzuri ya Mwaka kwenye mashindano ya kimataifa ambapo noti ishirini kutoka duniani kote zilikuwa zimeteuliwa kuwania tuzo hiyo na mshindi alichaguliwa na wanachama wa IBNS . Hizi ni baadhi ya noti ambazo zilishindanishwa pamoja na noti ya New zealand Sweden’s 20 kronor Noti ya Scotland £ 5 Source:Millardayo.com
Maoni
Chapisha Maoni