Jipangeni kuijenga Dodoma-Samia..



akamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan.
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan.

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amewataka wakadiriaji majenzi wajipange ipasavyo kusaidia ujenzi nchini ikiwamo wa mji wa Dodoma.
Amesema hayo kwenye kongamano la mwaka la Afrika la wakadiriaji majenzi lililofanyika jijini Dar es Salaam
“Tunakwenda kwenye ujenzi wa reli ya kati na wa Dodoma ambako tutahitaji ujenzi wa majengo na miundombinu hivyo mjipange,   tunategemea utaalamu wenu,” amesema.



Source:Mwananchi






































































































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Wachezaji Ligi Kuu wakatiwa Bima ya Afya...

Orodha ya nchi 10 zaidi duniani zenye idadi kubwa ya watu kuliko nchi nyingine (2000-2015) na Nigeria ikiwa ndio nchi ya pekee kutoka bara la Afrika