Machapisho maarufu kutoka blogu hii
PICHAZ: Umati Wa Watu wamejitokeza Kwa Wingi Katika Hitimisho Za Kampeni Kwa Upande Wa UKAWA, Jangwani Jijini Dar es salaam..
Picha 10 za Ikulu zilizo nzuri zaidi Duniani...
1. Ikulu ya Forbidden City Ni ikulu ambayo ipo katikati ya Beijing, Forbidden City ni moja ya ikulu kubwa duniani yenye ukubwa wa hekta 72 . Ime jengwa mwaka 1406-1420 , lina majengo 980 ya kuishi na idadi ya vyumba 8707. 2.Ikulu ya Potala Ni ikulu iliyo jengwa juu ya milima wa Marpo Ri,Uliopo mita 30 juu ya bonde la Lhasa , Ikulu ya Potala kingo zeka ni zaidi ya mita 170 na ni kubwa.I kulu i likuwa tayari ime jengwa hapa katika karne ya 7, ujenzi wa jumla ulianza mwaka 1645 wakati wa utawala wa tano Dalai Lama na kwa 1648 Potra 3.Ikulu ya Alhambra Sehemu ya ngome , sehemu ya ikulu na sehemu ya bustani Alhambra ni mji ambao uko juu ya Plateau...
Maoni
Chapisha Maoni