Magari yenye thamani zaidi ya Tsh milioni 300 waliyopewa wachezaji wa Leicester City..(+Pichaz)

Klabu ya Leicester City ya Ligi Kuu England ambao ni Mabingwa wa Ligi Kuu Englandmsimu uliopita wamepewa zawadi za magari aina ya BMW I8s kutoka kwa mwenyekiti wao  Vichai Srivaddhanaprabha kama sehemu ya furaha na zawadi ya kutwaa taji la EPL kwa msimu uliopita.
PIC BY MICHAEL SCOTT/CATERS NEWS - (PICTURED: LCFC Midfielder, Riyad Mahrez tries out his new BMW i8 car at the King Power Stadium in Leicester.)
Magari hayo yaliyotolewa zawadi kwa wachezaji wa Leicester City yalikuwa nje ya uwanja wa King Power, gari aina ya BMW I8s ambazo wamepewa wachezaji hao, zinathamani ya pound 105,000 kila moja ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 300.
36E8A09100000578-3725515-image-a-20_1470412757095

PIC BY MICHAEL SCOTT/CATERS NEWS - (PICTURED: LCFC Midfielder, Riyad Mahrez tries out his new BMW i8 car at the King Power Stadium in Leicester.)

36E8A0AA00000578-3725515-image-a-22_1470412808499

36E85AC100000578-3725515-image-a-4_1470411933877




Source:Millardayo.com






































































































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

USAJILI WENYE MANUFAA EPL HADI SASA..