RATIBA YA PLAY-OFF UEFA CHAMPIONS LEAGUE..

Ratiba ya ligi play-off ya ligi ya mabingwa Ulaya imeshatoka lakini vilabu vya Manchester City ya England na Celtic ya Scotland vikionekana kupangwa na vibonde.
Kikosi cha Manchester City chini ya Pep Guardiola  kitapambana na Steaua Bucharest klabu kutoka Romania wakati Celtic iliyo chini ya Brendan Rodgers chenyewe kitachuana na Hapoel Be’er-Sheva ya Israel.
Mechi ya play-off inayotolewa macho ni ile kati ya Porto v AS Roma pamoja na ile kati ya Villarreal v Monaco ambayo pia inatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.
Mechi za kwanza zinatarajiwa kuchezwa August 16/17, huku timu hizo zikitarajiwa kurudiana August 23/24.

Hii hapa ratiba kamili ya mechi za play-off.







Source:Shaffihdauda.com

















































































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

USAJILI WENYE MANUFAA EPL HADI SASA..