Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2016

Bohari Lateketea kwa Moto Sinza Lego Jijini Dar jioni ya leo..(+Pichaz)

Picha
Mmoja wa kijana ambaye alifika kushuhudia tukio hilo akipanda juu ya Ghorofa baada ya kunusurika kudondokea katika moto huo Moto uliendelea kuwaka huku juhudi za kuzima zikiendelea Mbele ni Gari la zima moto likiwa limefanya juhudi za kuzima moto ,  hapa wakiondoka kufuata maji mengine ili kuendelea na zoezi la kuzima moto huo Baadhi ya Mashuhuda wakishuhudia tukio hilo la kuwaka kwa Bohari Magari yakiwa yameruhusiwa kuendelea na safari baada ya moto huo na moshi mkubwa kupungua  Bohari moja ambalo lilikuwa la kuhifadhia mataili pamoja na vifaa vyenginevyo vya magari lililopo Sinza Lego ambalo mmiriki wake hakufahamika kwa mara moja limeteketea kwa moto ambapo kwa mujibu ya wenyeji wa eneo hilo wamedai kuwa chanzo cha moto huo ni mataili.   Pia katika eneo hilo kuna Gereji ambayo haikuathirika na moto huo mkubwa, mpaka jioni hii kikosi cha kuzima moto kilikuwa eneo la tukio kuendelea kusaidiana na wananchi kuhakik

Afande aliyevalia bikini amkamata mwizi..

Picha
Afande aliyevalia bikini amnasa mwizi wa simu. Afisa wa polisi wa kike aliyevalia bikini amewaogofya wezi mjini Stockholm Sweden baada ya kumnasa mwizi wa simu ya mkononi kwa miereka ufukweni. Bi Mikaela Kellner na wenzake ambao pia ni maafisa wa polisi walikuwa wametoka kazini na kufululiza hadi ufukweni kujitanua chini ya jua. Mara wakagundua bwana mmoja aliyekuwa akinadi vitabu vya watoto yatima dakika 15 zilizotangulia alikuwa amewaibia simu ya mkononi . Wakashtuka na kuanza kumfuata mbio ufukweni. watu waliokuwa wakijivinjari ufukweni walidhania kuwa mwanamke huyo aliyekuwa nusura uchi alikuwa akifanya mazoezi kwa jazba ya mwaka. ''Mbona hakuenda rio kwenye mashindano ya riadha ya olimpiki? alisikika mama mmoja akimbeza. Kufumba na kufumbua wakashtuka binti huyo aliyekuwa amevalia Bikini ''yaani sindiria na chupi'' pekee alikuwa akikabiliana na mwanaume fulani. Hapo ndipo walipong'amua haikuwa mazoezi, na walipopeleleza wakagundua k

Mwanafunzi wa kitanzania ashinda shindano la Insha la Umoja wa Mataifa..

Picha
Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Bw. Mogens Lykketoft akiwazungumza washindi 60 wa   Insha kuhusu Lugha Nyingi, Dunia Moja,  miongoni mwa washindi hao  ni mwanafunzi wa Kitanzania Amani Alfred Naburi  anayesoma Chuo  Kikuu cha African Leadership kilichopo  nchini Mauritius wengine katika picha ni Mkuu wa Idara ya Mawasiliano  ya Umma  ya Umoja wa Mataifa,  Bi. Cristina Gallach. Amani Alfred Naburi akisoma sehemu ya Insha yake aliyoiandika kwa lugha ya kiingereza ambayo ilizungumzia  lengo namba kumi na moja la maendeleo endelevu ambalo linahusu Miji jumuishi, salama na endelevu. Hafla hii  ilifanyika siku ya Ijumaa katika Ukumbi Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa  Mataifa hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa Sehemu ya wanafunzi wa Insha kuhusu Lugha   Nyingi, Dunia Moja wakiwa katika ukumbi Mkuu wa  Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa..Hafla hii ilikuwa ni sehemu ya  Kongamano  la Kimataifa la  Vijana  Naburi anaonekana  katika mstari wa tatu akishangilia  jambo na wan

Chadema: Tutamalizia kwa Dk. Magufuli..

Picha
Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa. SIKU moja baada ya Rais John Magufuli kuonya mikutano ya kisiasa ya hadhara, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeahidi kumalizia mikutano yake nyumbani kwake Chato, Geita. Chadema Kanda ya Ziwa Victoria kimeeleza kuwa, kitahitimisha Operesheni ya Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania (Ukuta) katika Wilaya ya Chato anakotokea Rais Magufuli. Tarehe 27 Julai mwaka huu, Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa alitangaza kuanza mikutano ya hadhara na maandamano nchi nzima kuanzia Septemba Mosi mwaka huu chini ya mwavuli wa Ukuta. Licha ya Chadema chini ya Mbowe kutangaza mikutano na maadamano ya amani nchi nzima, bado kumekuwepo na zuio la polisi dhidi ya vyama vya siasa nchini kufanya mikutano ya hadhara kwa kile kinachoelezwa hali ya usalama kutokuwa nzuri. Meshack Micus, Katibu wa Chadema, Kanda ya Ziwa Victoria amesema, baada ya Mbowe kutangaza kuanza kufanyika kwa mikutano nchini, wao kama kanda wanaunga mk

justin bieber turns down performing at a donald trump convention event

Picha
It’s been reported that  Justin Bieber  turned down an offer to perform at an event funded by some wealthy  Donald Trump donors. Biebs apparently turned down $5million (£3.8million) to perform at the concert after his manager, Scooter Braun, considered quitting over it. According to  TMZ , the singer was offered the cash to perform at the event close to where the Republican National Convention was taking place in Cleveland, with donors asking for 45 minutes of Bieber’s time. Sources told the site that a promoter assured the CAA, the talent agency representing Bieber, that the event was 'not a political one', and that he 'wouldn’t be endorsing Donald Trump' if he performed. However, it’s reported that Scooter and the CAA felt the event would be ‘100 per cent political’, with the manager believing that the party were using the singer ‘as a tool’. Scooter allegedly told Justin that, ‘out of principle’, he ‘couldne’t continue to represent the singer’ if he sa

Mugabe: 'Mtakiona' Trump akishinda..

Picha
Robert Mugabe Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amewaambia maseneta wa Marekani waliozuru taifa hilo kwamba watajutia kutofanya urafiki naye iwapo Donald Trump atachaguliwa kuwa rais katika uchaguzi wa mwezi Novemba. Maseneta hao Chris Coons na Adam Schiff waliambia gazeti la Politico nchini Marekani kwamba walikuwa katika taifa hilo kuzungumzia kuhusu usafirishaji wa wanyama mwitu na kwamba waliomba kukutana na rais huyo na wakashangaa kwamba alikubali kuonana nao. Maseneta hao wamesema kuwa Mugabe aliwataka kuelezea kwa nini Marekani inaliwekea vikwazo taifa hilo ambapo walitoa sababu kadhaa. Ni wakati huo ambapo bwana Mugabe aliwaambia: ''Wakati Trump atakapokuwa rais mutatamani mungefanya urafiki nami''. Source:BBC