Kenya Airways yaanza kuwapunguza wafanyakazi..
Mbuvi Nguzi Mkurugenzi mkuu wa KQ akikaribisha ndege ya pili ya 787 Dreamliner
Shirika la ndege ya Kenya, limeanza kuwaachisha kazi wafanyakazi wake katika mpango wa kufanya marekebisho ya matumizi na kuongeza mapato.
Mbuvi Ngunze Mkurugenzi Mtendaji wa Kenya Airways.
Kulingana na mpango huo hadi watumishi 600 wanatazamiwa kuachishwa kazi katika muida huu ambao Kenya Airways inapata hasara kulingana na Mkurugenzi Mtendaji wake Mbuvi Nguze.
Source:VOA
Maoni
Chapisha Maoni