MJI HUU AFRIKA UMEFUNGA MAKANISA NA MISIKITI YOTE KISA KELELE..
Mpango wa nchi nyingi duniani ni kuhakikisha zinakabiliana na uchafuzi wa radhi (Land Polution), uchafuzi wa Maji (Water Polution), Uchafuzi wa Anga (Air Polition) na Uchafuzi wa Kelele (Noise Polution) kwa ajili kufikia malengo ya binadamu kuishi katika mazingira yaliyosafi na salama.
Ikiwa ni mojawapo ya mipango ya mji wa Lagos nchini Nigeria wa kutimiza azimio la mwaka 2020 la kumaliza kelele, makanisa na misikiti yafungwa.
Meneja Mkuu wa Kitengo cha Usafi wa mazingira katika jimbo la Lagos, Adebola Shabi alisema kuwa uchunguzi umeonyesha kuwa makanisa na misikiti vinachangia kwa kiasi kikubwa kuenea kwa vurugu na kelele mjini humo na ni hatari kuu.
Source:Mtembezi.com
Maoni
Chapisha Maoni