Pale ambapo Bunge lilisimama, Askari wakalazimika kuingia ndani ya Bunge Dodoma.. (+Picha)


January 27 2016 kikao cha Bunge kimeendelea Dodoma, yakaanza maswali na majibu kwa Mawaziri wa Serikali… baadae Waziri Nape Nnauye akatangaza kwamba kumekuwa na gharama kubwa sana TBC1 kurusha Live kikao cha Bunge kwa hiyo Bunge halitoendelea kurushwa, litarekodiwa na kurushwa usiku.
Hoja ya Waziri ikapelekea baadhi ya Wabunge kuamua kutoa hoja zao wakisisitiza kwamba hawakubaliani na suala hilo, Bunge likaahirishwa.
Bunge likaanza tena saa kumi jioni na baadhi ya Wabunge wakaendelea na msimamo wa kutotaka hoja ya TBC1 kutorusha matangazo ya Bunge Live, ikabidi Askari waingie ndani kutuliza hali hiyo.
b6f855e4-50f1-466f-a322-718ab371cd4e

a36ac74d-a3cc-47af-9f38-ed8cee04a98b

a391f8f9-013f-4c24-8706-2ff32973b336

c1f9aff2-47fb-44d2-8d59-4c098e801a47









SOURCE:Millardayo.com




























































































































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

USAJILI WENYE MANUFAA EPL HADI SASA..