Sentensi Kutoka Kwa Wakala inayoashiria mwisho wa maisha ya Yaya Toure Man City unakaribia …
Kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast anayeichezea klabu ya Man City ya Uingereza Yaya Toure amekuwa akiingia kwenye headlines mara kadhaa, baada ya kuhusishwa kuondoka Man City. January 19 wakala wa mchezaji huyo Dimitri Seluk amethibitisha kuwa Toure anaweza kuondoka Man City.
Dimitri Seluk amethibitisha kuwa Toure ataondoka Man City mwishoni mwa msimu lakini sio dirisha dogo la usajili la January, Dimitri Seluk hajathibitisha Toure atakuwa na uwezekano wa kwenda wapi ila kwa sasa anatajwa kuwa huenda akajiunga na klabu yaInter Milan ya Italia.
“Ni kweli Toure anaweza kuondoka Man City lakini sio mwezi January, mwishoni mwa msimu kila kitu kinaweza kubadilika, tupo tayari kusikiliza ofa ya klabu yoyote itakayokuja mbele yetu” >>> Dimitri Seluk SOURCE:Millardayo.com
Maoni
Chapisha Maoni