Cristiano Ronaldo Amempiku Neymar Kwa kuwa Na Followers Wengi Instagram..

Follow
Dinner soup with daddy🍵🍵

Staa kutoka Klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo kwasasa ndiye mchezaji mwenye followers wengi Instagram baada ya kumpiku aliyekuwa akishikilia nafasi ya kwanza katika mitandao ya kijamii, staa kutoka katika  Klabu ya Barcelona, Neymar.

Ronaldo amempiku Neymar baada ya siku chache kupost picha Instagram akiwa na mwanaye ndio ikamfanya kupata followers wengi zaidi mpaka kumpita mchezaji huyo kutoka Klabu ya Barcelona, na kumuacha akiwa na followers Millioni 33.3, huku Ronaldo akiwa na followers Millioni 33.5.









SOURCE:Bleacher Report








































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Orodha ya nchi 10 zaidi duniani zenye idadi kubwa ya watu kuliko nchi nyingine (2000-2015) na Nigeria ikiwa ndio nchi ya pekee kutoka bara la Afrika

Wachezaji Ligi Kuu wakatiwa Bima ya Afya...