Marekani yasikitishwa na tamko la ZEC kufuta uchaguzi Z’bar...
Taarifa ya Ubalozi wa Marekani nchini iliyotumwa kwa vyombo vya habari inasema hatua hiyo inasitisha mchakato wa uchaguzi uliofanyika vizuri na kwa Amani.
“Tunatoa wito wa kuondolewa kwa tamko hilo na kuzisihi pande zote kudhamiria kwa dhati kuukamilisha mchakato huu wa kidemokrasia kwa uwazi na kwa Amani,” inasema taarifa hiyo.
Maoni
Chapisha Maoni