Mh. Lowassa aitaka NEC kufanya shuguli zake bila kupendelea upanda wowote...



Mgombea wa nafasi ya urais kwa tiketi ya Chadema, anayeungwa mkono na vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA, Edward Lowassa ameitaka tume ya uchaguzi kuhakikisha inafanya shughuli zake kimamilifu na bila kupendelea upande wowote kwani kushindwa kufanya hivyo ni kuliingiza taifa kwenye machafuko.

Mgombea huyo wa nafasi ya urais Edward Lowassa ametoa onyo hilo kali kwa tume ya uchaguzi nchini katika siku yake ya mwisho ya kampeni kanda ya ziwa.
 
Nauli za vivuko kwa wakazi wa kanda ya Ziwa imekuwa changamoto kubwa, nini kauli ya Edwrad Lowassa,
 
Wakati siku za kuelekea Oct 25 zikizidi kuhesabika kwa haraka zaidi, Freeman Mbowe ni mwenyekiti wa Chadema taifa.
 
Uchaguzi wa Tanzania unatazamwa na dunia kwa jicho la tatu kwasasa,
 
Viongozi wa umoja wa katiba ya wananchi UKAWA wakiongozwa na mgombea nafasi ya urais Edward Lowasa wametuma salama za rambi rambi kwa familia Dkt Emanuel Makaidi aliyefariki dunia.









SOURCE:ITV





















Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Imetangazwa noti yenye muonekano mzuri kuliko zote duniani kwa mwaka 2016..

Picha 10 za Ikulu zilizo nzuri zaidi Duniani...