MITANDAO YA KIJAMII IMEFUNGWA NCHINI UGANDA KATIKA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI..
Mitandao ya kijamii imefungwa kwa lengo la kuzuia mawasiliano kwa wananchi wa Uganda kwa kupeana taarifa za uchaguzi unaoendelea nchini humo. Ikiwa na lengo la kuzuia taarifa zisizo rasmi juu ya matokeo ya uchaguzi huo.
Source:VyprVPN (Twitter)
Maoni
Chapisha Maoni